Dalili za ugonjwa wa Ebola

Dalili za ugonjwa wa Ebola ni zipi?

Jua dalili za Ebola
Dalili za ugonjwa wa Ebola uanza kujitokeza kati ya siku 2 hadi 21 baada ya kupata maambukizi. Mgonjwa wa Ebola huwa na dalili zifuatazo:
  • Homa kali ya ghafla
  • Maumivu ya kichwa
  • Maumivu ya mwili, misuli na viungo
  • Kuharisha (kunaweza kuambatana na damu)
  • Kutapika (kunaweza kuambatana na damu)
  • Vipele mwilini
  • Kuvia damu chini ya ngozi au kutokwa na damu puani, mdomoni, machoni, na masikioni na sehemu ya haja ndogo na kubwa

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Saratani ya koo la Chakula

Tiba mbadala ya vidonda vya Tumbo

Homa ya Malale (African Sleeping sickness)